sw_tn/psa/066/003.md

17 lines
406 B
Markdown

# Matendo yako yanaogofya
Matendo ya Mungu yanatusababisha kuwa katika mshangao na kuogopa kwa sababu tunajua kuwa ana uwezo na ni mtakatifu.
# Kwa ukuu wa uwezo wako
"Kwa sababu una uwezo mkuu"
# Dunia yote itakuabudu
Hii inamaanisha watu wote wanaoishi duniani. "Watu wote duniani watakuabudu"
# wataimba kwa jina lako
Hapa "jina lako" linamaanisha Mungu mwenyewe. "watakusifu na kukupa heshima"