sw_tn/psa/035/009.md

17 lines
533 B
Markdown

# katika wokovu wake
Nomino dhahania "wokovu" inaweza kuelezwa kama kitenzi. "kwa kuwa umeniokoa"
# Mifupa yangu yote
Hapa "mifupa" inamaanisha undani zaidi wa mtu. "Undani wangu wote"
# Yahwe, ni nani aliye kama wewe ... wale wanao jaribu kuwaibia?
Jibu linalodokezwa kwa hili swali ni kwamba hakuna aliye kama Yahwe. "Yahwe, hakuna aliye kama wewe ... wale wanaojaribu kuwaibia"
# maskini na wahitaji
Maneno "maskini" na "wahitaji" yana maana ya kufanana na yanasisitiza kuwa Yahwe anawaokoa wengi wanaohitaji msaada wake.