forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.0 KiB
Markdown
37 lines
1.0 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Zaburi ya Daudi
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
|
|
|
# ninalia
|
|
|
|
"ninaita kwa sauti"
|
|
|
|
# mwamba wangu
|
|
|
|
Hii ni sitiari ya nguvu. "nguvu yangu"
|
|
|
|
# usiache kunijali
|
|
|
|
"usiwe kimya kwangu" au "usiniache mwenyewe"
|
|
|
|
# Nitaungana na wale wanaoenda chini kaburini
|
|
|
|
Watu wanaokufa wanazungumziwa kana kwamba wanaenda kaburini. "Nitakufa kama wale waliomo kaburini"
|
|
|
|
# Sikia sauti ya dua yangu
|
|
|
|
Hapa "sauti" inamaanisha maneno ya ombilake. "Sikia ombi langu kuu"
|
|
|
|
# Napainulia mikono yangu mahali pako patakatifu
|
|
|
|
Kuinua mikono ni ishara ya kuabudu. Mwandishi haabudu mahali patakatifu, bali Yahwe anayeishi katika sehemu hiyo takatifu.
|
|
|
|
# mahali pako patakatifu
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) kama Daudi aliandika hii, basi hii inamaanisha hema ambalo Mungu aliwaambia watu wake kuandaa ili wamwabudu humo, au 2) kama ni mtu aliandika baada ya wakati wa Daudi, basi mwandishi anamaanisha hekalu lililoko Yerusalemu.
|
|
|