sw_tn/psa/027/013.md

25 lines
647 B
Markdown

# Nini kingetokea kwangu
Swali hili balagha linaweza kuelezwa katika hali chanya. "Kitu kibaya kingetokea kwangu"
# uzuri wa Yahwe
Nomino dhahania ya "uzuri" inaweza kuelezwa kama kitenzi. "vitu vizuri ambavyo Yahwe hufanya"
# katika nchi ya walio hai
Hii inamaanisha kuwa hai. "wakati niko hai"
# Msubiri Yahwe ... msubiri Yahwe!
Mstari huu unaweza kuwa 1) mwandishi anazungumza mwenyewe au 2) mwandishi anazungumza na wengine au 3) mtu anazungumza na mwandishi.
# acha moyo wako uwe na ujasiri
Hapa "moyo" unawakilisha mtu mzima. "uwe mjasiri"
# Msubiri Yahwe!
Mstari huu umerudiwa mwishoni mwa zaburi kama njia ya kumalizia zaburi.