sw_tn/psa/018/050.md

9 lines
287 B
Markdown

# ushindi kwa mfalme wake
Kwa kutumia maneno "mfalme wake," Daudi anamaanisha yeye mwenyewe kama mfalme.
# anaonesha uaminifu wake wa agano kwa mtiwa mafuta wake ... kwa vizazi vyake milele
"ananipenda kwa uaminifu kama alivyoahidi katika agano lake, na ataupenda uzao wangu milele"