forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
567 B
Markdown
13 lines
567 B
Markdown
# Mataifa yamezama chini kwenye shimo walilotengeneza
|
|
|
|
Watu huchimba mashimo ili kukamata wanyama wanaoanguka humo. Hapa kuchimba shimo inaashiria kufanya mipango ya kuangamiza watu. "Mataifa ni kama watu wanaochimba mashimo kwa ajili ya wengine na kisha kuanguka humo"
|
|
|
|
# miguu yao imenaswa kwenye wavu walioficha
|
|
|
|
Watu huficha nyavu ili kukamata wanyama wanaonaswa humo. Hapa kuficha wavu inaashiria kufanya mipango ya kuangamiza watu. "ni kama watu wanaoficha wavu na kunaswa humo"
|
|
|
|
# ametegwa
|
|
|
|
"kunaswa" au "kushikwa." Hii inamaanisha kuangamizwa. "kuangamizwa"
|
|
|