# shupaza shingo yake
"kataa maonyo "
# atavunjika katika muda mfupi
"Mungu atamvunja ghafla"
# pasipo kupona
"na hakuna mtu ataweza kumsaidia"
# watu hushusha pumzi
"watu watakuwa na hofu na huzuni"