sw_tn/num/32/20.md

25 lines
624 B
Markdown

# kama mtajipanga wenyewe
"kama mtachukua silaha zenu"
# Mbele ya BWANA
"katika uwepo wa BWANA"
# mpaka atakapowafukuza maadui zake
"mpaka BWANA atakapowawezesha maaskari kuwaangamiza maadui na kuwafu"kuza kutoka katika uwepo wake
# na nchi itawaliwe na Israeli
"na katika uwepo wake Waisraeli watawatawala watu wanaoishi katika nchi hiyo"
# mtaweza kurudi
"mtaweza kurudi katika nchi hii katika upande wa mashariki wa Yorodani
# Hamtakuwa na hatia mbele za BWANA na mbele ya Israeli
Inamaanisha 1) "mtakuwa mmekamilisha wajibu wenu kwa BWANA na kwa Israeli 2)"Hakutakuwa nalawama toka kwa BWANA au kwa Israeli"