forked from WA-Catalog/sw_tn
381 B
381 B
Taarifa kwa ujumla
Balaamu anamaliza unabii wake wa kwanza kati ya nabii nne alizotoa.
Edomu atakapokuwa miliki ya Israeli
"Waisraeli wataimilki Edomu"
Na Seiri pia itakuwa milki yao
"Israeli atawaangamiza watu wa Seiri"
Kutoka kwa Yakobo atatoka mfalme
"Yakobo" ni kiwakilishi cha watu wote wa Isreli
katika mji
"mji wa Ari ambao Balaki alikutana na Balaamu"