forked from WA-Catalog/sw_tn
346 B
346 B
Nani awezaye kuyahesabu mavumbi ya Yakobo au hata kuhesabu robo ya Israeli?
"Hawa Waisraeli ni wengi mno kuwahesabu. Hakuna awezaye kuwahesabu hata robo kwa sababu ni wengi mno"
kifo cha mtu mwenye haki
"kifo cha amani cha mtu mwenye haki"
mtu mwenye haki ... uwe kama wake
Hizi ni semi zinazowaongelea Waisraeli kuwa kama mtu mmoja.