forked from WA-Catalog/sw_tn
717 B
717 B
Taarifa kwa ujumla
wazo la "usafi" na "Utakatifu" linamaanisha kukubalika kwa Mungu
Taarifa kwa ujummla
wazo la "unajisi" na "uchafu," "kutokuwa msafi"linamaanisha kutokukubalika kwa Mungu.
maiti
"mwiliya mtu aliyekufa"
lakini kama hajajitakasa
"aomba mtu wa kumtakasa"
lakini kama hajajitasa mwenyewe katika siku ya tatu, basi hatakuwa safi katika siku ya saba
"atakuwa safi siku ya saba tu iwapo kama atajitakasa siku ya tatu"
mtu huyo ataondolewa
tazama 9:13
maji ya farakano yalikuwa hayajanyunyiziwa kwake
"hakuna alimnyunyizia maji ya farakano"
Atabaki najisi; na unajisi wake utabaki kwake
Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile. Vimetumika kwa pamoja kuonesha msisitizo