sw_tn/neh/09/35.md

238 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

wakati walifurahia wema wako kwao

"wakati walifurahia mambo mema uliyowapa"

hawakukutumikia

"hawakuitii sheria yako au mafundisho"