forked from WA-Catalog/sw_tn
495 B
495 B
Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
usiruhusu shida hii yote iwe ndogo kwako ambayo imetujia ... hata leo
Inawezekana kugawanya hii katika sentensi mbili. "Usiruhusu shida hii yote iwe ndogo kwako. Tatizo limekuja kwetu ... hata leo"
shida ... imetujia ...yote yaliyotupata
Maneno "kuja juu yetu" yanazungumzia mambo mabaya yanayotokea kama kwamba ni watu wanaosababisha. AT "madhara ... tumesikia ... kila kitu tumeteseka"