sw_tn/neh/09/28.md

646 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

walipumzika, wakafanya mabaya tena mbele yako

Hapa "wao" inawakilisha Waisraeli na "wewe" kwa Bwana.

ukawaacha mikononi mwa adui zao

Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria "adui" (kwa ujumla) kufanya madhara. AT "umeruhusu adui zao kuwadhuru"

hawakusikiliza amri zako

Ikiwa lugha yako ina neno la "sikiliza" ambayo pia inamaanisha "utii," tumia hapa.

amri zako ambazo huwapa uzima mtu yeyote anayewatii

Bwana mwenyewe anasemwa kama kwamba yeye alikuwa na amri wenyewe. AT "hata kama wewe huwapa uzima kila mtu anayeitii amri zako"