forked from WA-Catalog/sw_tn
405 B
405 B
Sentensi Unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
Uri wa Wakaldayo
"Uri, ambapo kundi la Wakaldayo liliishi"
Uliona moyo wake ulikuwa mkamilifu mbele yako
Moyo, ndani ya mtu, inawakilisha mtu. AT "Uliona kwamba alikuwa mwaminifu kabisa kwako"
Wakanaani..... Mhiti...... Mwamori..... Perizi......Myebusi.......Wagirgashi
majina ya kundi la watu