forked from WA-Catalog/sw_tn
489 B
489 B
Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia na Maaseya...Pedaya, Misbaeli, Malkiya, Hashumu, Hashbadani, Zekaria na Meshulamu
Haya yote ni majina ya wanaume.
Ezra alifungua kitabu mbele ya watu wote
Neno hili "mbele" linaweza kutafsiriwa kwa kitenzi "tazama." AT "Kila mtu aliona Ezra kufungua kitabu"
kitaba
"Kitabu cha sheria"
alikuwa amesimama juu ya watu
"alikuwa amesimama juu kuliko watu"
alipoufungua watu wote wakasimama.
Watu wakasimama kwa heshima ya neno la Mungu.