1.1 KiB
Taarifa ya unganisha
Nehemia anaendelea kuomba kwa Mungu.
Tafadhali kumbuka nia
"Kumbuka nia" ni dhana ambayo ina maana kukumbuka. AT 'Tafadhali kumbuka'
neno ulilomuamuru mtumishi wako Musa
Matamshi "wewe" na "yako" kinamaanisha Mungu.
mkitenda pasipo uaminifu... nitawatawanya ....lakini mkirudi ...watu wako
Matamshi "'wewe" na "yako" ni wingi na hutaja watu wa Israeli.
itawatawanya kati ya mataifa
Bwana anaongea ya kuwafanya Waisraeli wapate kuishi katika mataifa mengine kama kwamba aliwatangaza wao kama mtu atakayegawa mbegu. AT '"itawafanya uishi kati ya mataifa'"
ingawa watu wako walienea
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT 'ingawa nimewatangaza watu wako'
chini ya mbingu za mbali
Bwana anasema juu ya maeneo duniani ambayo ni mbali sana kama "chini ya mbingu za mbali." AT "kwenda mahali mbali sana"
mahali pale nilichochagua ... kubaki
Maneno haya yanamaanisha Yerusalemu, ambako hekalu lilikuwa iko. AT "kwenda Yerusalemu, ambapo nimechagua ... kubaki'"
ambapo nimechagua kufanya jina langu kubaki
Hapa neno "jina" linawakilisha Bwana mwenyewe. AT "ambapo nimechagua kukaa"