kaburi lile lililochimbwa katika mwamba
"awali lile kaburi lilichimbwa na mtu katika mwamba imara"
sanda
vazi lililotengenezwa kwa kitani inayopandwa {kama ilivyotafsiriwa katika 14:51-52
mahali pale alipozikwa Yesu
"mahali pale ambapo Yusufu na wengine waliuzika mwili wa Yesu"