sw_tn/mrk/06/56.md

29 lines
398 B
Markdown

# Popote alipoingia
"Popote Yesu alipoingia"
# waliwaweka
Hapa "wa" urejea kwa watu. Haaina maana ya kurejea kwa wanafunzi wa Yesu
# mgonjwa
Hii urejea kwa watu. "watu wagonjwa"
# wakamsihi
Maana zinazowekana ni 1)"mgonjwa alimsihi" au 2) "watu walimsihi"
# waache waguse
Neno "wa" urejea kwa mgonjwa.
# pindo la vazi lake
"pindo la vazi lake" au " pindo la vazi lake"
# wengi
"wote"