sw_tn/mrk/06/21.md

21 lines
691 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Mwandishi anaendelea kutoa maelezo ya nyumba kuhusu Herode na kukatwa kichwa Yohana mbatizaji.
# akawaandalia moafisa wake karamu... Galilaya
Hapa neno "aka" urejea kwa Herode na maneno mbadala kwa mtumwa wake ambaye angeweza kumwamuru kuandaa karamu. " alikuwa na chakula kilichokuwa kimaandaliwa kwa ajili ya maofisa... wa Galilaya" au alikuwa amealika maofisa wake... wa Galilaya kuwa na kufurahi pamoja naye"
# Chakula
chakula cha kawaida au dhifa
# Binti wake mwenyewe Herode
Neno "wake mwenyewe"ni nomino inayotumiwa kusisitiza kwamba ilikuwa ni muhimu alikuwa ni binti wake Herode aliye cheza wakati wa karamu.
# alikuja ndani
"alikuja ndani ya chumba"