"Ilitokea"
"wakati Yesu alipokuwa anamuomba Mungu kuwatendea mema"
Kwa sababu Luka haelezei kiuwazi nani alimbeba Yesu kwenda juu, hatujui kama alikuwa Mungu mwenyewe au malaika mmoja au malaika wengi.