Nilipokuwa nanyi
"Wakati bado nilipokuwa nanyi"
yote yaliyoandikwa kwenye sheria ya Musa na manabii na zaburi
Tafsiri mbadala: "yote ambayo Musa, manabii, na waandishi wa Zaburi waliandika kuhusu mimi"
lazima yatimilike
Tafsiri mbadala: "Mungu atayatimiliza" au "Mungu atayafanya yatokee"