forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
802 B
Markdown
25 lines
802 B
Markdown
# Wakampeleka kwenye Baraza
|
|
|
|
Inaweza kumaanisha 1) "Wazee walimleta Yesu kwenye baraza" au 2) "Walinzi walimpeleka Yesu mbele ya baraza la wazee."
|
|
|
|
# wakisema
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Wazee wakamwambia Yesu"
|
|
|
|
# tuambie
|
|
|
|
"tuambie kwamba wewe ni Kristo"
|
|
|
|
# Kama nikiwaambia...Kama nikiwauliza
|
|
|
|
Yesu alisema kwamba haikuwa na maana kama angesema au angewauliza kusema, wasingejibu kwa ufasaha. Hizo sentensi mbili kwa pamoja zinaelezea mtazamo wa Yesu kwamba baraza lilikuwa kwa kweli halitafuti ukweli.
|
|
|
|
# Kama nikiwaambia hamtaniamini
|
|
|
|
Hii ni moja ya maelezo ya kinadharia aliyoyatoa Yesu. Ilikuwa ni njia ya Yesu kujibu bila kuwapa sababu ya kusema kwamba alikuwa anahatia ya kukufuru.
|
|
|
|
# kama nikiwauliza hamtanijibu
|
|
|
|
Haya yalikuwa maelezo ya pili ya kinadharia
|
|
|