forked from WA-Catalog/sw_tn
864 B
864 B
Maelezo yanayounganisha:
Hii ni sehemu inayofuata ya sehemu ya simulizi inayoanza Yesu haongei tuu na wanafunzi wake tuu.
Tazama
Inaonyesha umuhimu wa mabadiliko katika huduma ya Yesu alivyokuwa akienda Yerusalemu kwa mara ya mwisho.
Yaliyoandikwa na manabii
"ambayo manabii waliandika"
Manabii
Hii inamaanisha Manabii wa Agano la kale.
Mwana wa Adamu
Yesu alikuwa anajielezea mwenyewe kama "mwana wa Adamu" na akatumia "yeye" kujielezea mwenyewe.
Yatatimizwa
"yatatokea" au "yatatimia"
Atatiwa mikononi mwa Mataifa
"Viongozi wa Kiyahudi watamkabidhi kwa Mataifa"
watamtendea dhihaka na jeuri, na kutemewa mate
"watamdhihaki, watamtendea vibaya na kumtemea mate"
Siku ya tatu
Hii inaelezea siku ya tatu baada ya kufufuka. Japokuwa wanafunzi wake hawakumuelewa, hivyo ni vizuri kutokuongeza maelezo haya unapotafsiri mstari huu.