forked from WA-Catalog/sw_tn
353 B
353 B
mmiliki wa nyumba
Hii ina maana ya Mungu. AT "Mungu."
utakuwa umesimama nje
Yesu alikuwa akizungumza na mkuta. mfumo wa "ninyi" ni wingi. Yeye aliwashughulikia wao kama vile hawataingia kwa kupitia mlango katika ufalme
Pound mlango
"Kugonga kwenye mlango"
Ondokeni kwangu
"Nenda mbali na mimi"
watenda maovu
"watu wanaofanya uovu "