sw_tn/luk/07/33.md

25 lines
933 B
Markdown

# hakula mkate
Maana zinazowezekana ni 1) "Kufunga mfululizo" au 2) kutokula chakula cha kawaida
# mnasema, 'Ana pepo'
Yesu alikuwa ananukuu kile watu walikuwa wanasema kuhusu Yohana. Hii inaweza ikasemwa bila nukuu ya moja kwa moja. NI: "Mlisema kuwa ana pepo" au "Mlimtuhumu kuwa ana Pepo"
# Mwana wa Mtu
Yesu alitarajia watu pale kujua kuwa alikuwa anajisemea mwenyewe. NI: "Mimi" mwana wa mtu.
# Mkasema, "Angali ... mdhambi"
Yesu alikuwa ananukuu kile watu walikuwa wanasema kuhusu mwana wa Mtu. Hii inaweza kusemwa moja kwa moja. NI: "mmesema kwamba mimi ni mtu Mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi"
# Mtu mlafi
Ni yule kitabia ya hula chakula kingi zaidi ya uhitaji wake.
# hekima imetambulika kuwa ina haki kwa watoto wake wote
Hii inaonekana kabisa kuwa ni mithali ambayo Yesu aliihusisha na hali hii. Hii huenda inamaana kwamba watu wenye hekima wangeelewa watu hawangemkataa Yesu na Yohana.