forked from WA-Catalog/sw_tn
539 B
539 B
Hamkuwahi hata kusoma ... yeye?
Yesu anawakemea mafarisayo kwaajili ya kutojifunza maandiko. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi NI: "Mtajifunze kutokana na yale mliyo soma .... yeye"
Mkate wa wonyesho
"Mkate mtakatifu " au "mkate ambao uliokuwa ukitolewa sadaka kwa Mungu"
Mwana wa Adam
Yesu alikuwa anarejea yeye peke yake. 'Mimi' Mwana wa Adam. NI: "Mimi, Mwana wa Adamu"
ni Bwana wa Sabato
Cheo "Bwana" hapa inasisitiza mamlaka juu ya Sabato. NI: "ana mamlaka kutambua kipi ni sahihi kwa mtu kufanya siku ya sabato!"