1.2 KiB
Sentensi Unganishi
Chakulani, Yesu anazungumza na Mafarisayo na waandishi.
Nyumbani mwake
"kwenye nyumba ya Lawi"
walioketi mezani
Aina ya Kigiriki ya kula kwenye karamu ilikuwa kuegemea kochi na kujihimili peke yako kwa mkono wa kushoto kwenye baadhi ya mito ." au " "kwenye meza"kukaa mezani"
kwa wanafunzi wake
"kwa wanafunzi wa Yesu"
Kwa nini unakula ... kwa mtu mwenye dhambi?
Mafarisayo na Waandishi waliuliza haya kudhihirisha kutoridhishwa kwao kwamba Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanakula na wenye dhambi. NI: "Huwezi kula na wenye dhambi!"
mnakula na kunywa pamoja ... watu wenye dhambi
Mafarisayo na waandishi waliamini kwamba watu wa dini wanapaswa kujitenga na watu waliowaona kuwa ni wenye dhambi. Neno "wewe" ni wingi.
Watu ambao ni wazima ... wagonjwa
Yesu anadhihirisha hii kama mithali.
Tabibu
daktari atibuye " au" daktari"
ni ambao wanaumwa tu
Maneno "inahitaji" yanaeleweka kutoka kirai kilichotangulia. NI: "ni wale wagojwa tu wanamwitaji"
watu wenye haki
Baadhi ya watu walifikiri wanahaki. Yesu anarejea kwa hao kwa namna walivyofikiri kuhusu wao wenyewe ingawaje alijua kwamba hawakuwa wenye haki. NI: "watu wafikirio wanahaki"