forked from WA-Catalog/sw_tn
366 B
366 B
Alipokwisha kumaliza kuzungumza
"Yesu alipomaliza kuwafundisha watu"
ya maneno yako
"kwa sababu ya maneno yako" au "kwa sababu umeniambia kufanya hivi"
walipunga
walikuwa mbali sana kutoka ufuoni hivyo walifanya ishara, huenda kupunga mikono.
walianza kuzama
"mtumbwi ulianza kuzama." "mtumbwi ulianza kuzama kwa sababu samaki walikuwa wazito sana."