1.1 KiB
wakati hesabu iliyotakiwa ... ilishapita
Hii inaonesha kupita kwa muda kabla ya tukio jipya.
hesabu iliyotakiwa ya siku
Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa tendea. NI: "hesabu ya siku ambazo Mungu alitaka."
kwaajili ya kujitakasa kwao
"kwaajili ya wao kuwa safi kiutaratibu." Pia unaweza kuisema nafasi ya Mungu. "Mungu kutaka wao wawe safi tena."
kumkabidhi kwa Bwana
"kumleta kwa Bwana" au "kumleta yeye kwenye uwepo wa Bwana." Hii ilikuwa ni sherehe kutambua nia ya Mungu kwa mtoto mzaliwa wa kwanza ambaye ni wa kiume.
kama ilivyo andikwa
Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa tendea. NI: "kama alivyo andika Musa" au "walifanya hivyo kwa sababu Musa aliandika."
kila mwanaume ambaye anafungua tumbo
"fungua tumbo" ni nahau ambayo inarejea kwa mtoto wa kwanza kutoka tumboni. Hii ilirejea kwa wote wanyama na wanadamu. NI: "kila mzaliwa wa kwanza mtoto ambaye ni mwanaume."
hicho ambacho kilisemwa katika sheria ya Bwana
"ambacho sheria ya Bwana inasema." Hii ni sehemu tofauti katika sheria. Inarejea kwa wanaume, iwe mzaliwa wa kwanza au sivyo.