forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.3 KiB
Markdown
33 lines
1.3 KiB
Markdown
# Nitaleta upanga juu yenu
|
|
|
|
Hapa "upanga" huwakilisha jeshi au shambulizi kutoka kwa jeshi. : "Nitaleta jeshi la adui dhidi yenu" au "nitasababisha jeshi la adui kuwavamia nyinyi"
|
|
|
|
# utakaowaadhibu kwa kisasi
|
|
|
|
"amabao utawaadhibu nyinyi"
|
|
|
|
# kwa sababu ya kulivunja agano
|
|
|
|
"kwa kutotii agano" au "kwa sababu hamlitii agano"
|
|
|
|
# Nanyi mtakusanywa pamoja
|
|
|
|
Hii yaweza kutamkwa katika mtingo wa utendaji. : "Mtakusanyika pamoja" au "Mtajificha"
|
|
|
|
# nanyi mtachukuliwa mikononi mwa adui yenu
|
|
|
|
Hapa " mikononi" humaanisha "kwenye udhibiti" na humaanisha kushindwa na adui. Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "adui zenu watawashindeni"
|
|
|
|
# Nitakapokomesha mgao wa chakula,
|
|
|
|
Kule kukiharibu chakula ambacho watu wamikitunza au kuwafanya watu wasikipate kumezungumziwa kana kwamba kukata uwaji wa chakula. : "Nitakapoharibu chakula mlichokihifadhi" au "Nitakapowazuia msiweze kupata chakula"
|
|
|
|
# wanawake kumi wataweza kuoka mkate wako kwenye chombo kimoja cha kuokea
|
|
|
|
Hii hudokeza kwamba kutakuwa na unga kidogo sana kiasi kwamba chombo kidogo sana cha kuokea kitaweza kubeba mikate yote ambayo wanawake wengi wateza kuweka ndani yake.
|
|
|
|
# watakugawia mkate wako kwa uzani
|
|
|
|
Hii humaanisha kwamba kutakuwa na chakula kidogo sana watatakiwa kukipima ni kiasi gani kila mtu anapata.
|
|
|