1013 B
Endapo pamoja na mambo haya
"Iwapo nitaadhibu ninyi kama hivi" au 'Iwapo nitawwadibisha ninyi kama hivi na"
msiyakubali marekebisho
Kukubali marekebisho yake huwakkilisha kuitikia kwake kwa usahihi. Katika jambo hili kuitika kwa usahihi kwake ni kuchagua kumtii Yeye. : "bado hamsikilizi marudi yangu" au "bado hamtaki kunitii Mimi"
kuenenda katika upinzani dhidi yangu
Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume chake humaanisha kumpinga Yeye au kupigana dhidi Yake. : "kunipinga" au "pigana dhidi yangu"
nami pia nitaenenda kinyume chenu
Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume chao humaanisha kuwapinga au kupigana dhidi yao. : "Pia Nami nitapigana dhidi yenu"
Mimi mwenyewe nitawaadhibu mara saba
Namba 7 huwakilisha ukamilifu. : "Mimi mwenyewe binafsi nitawaadhibu mara nyingi" au "Mimi mwenyewa nitawaadhibu kwa ukali wa hali ya juu"
kwa sababu ya dhambi zenu
le nomino dhambi yaweza kuelezewa na kitenzi "tenda dhambi." : "kwasababu mnaendelea kutenda dhambi dhidi yangu"