sw_tn/lev/25/53.md

973 B

:hatendewi kwa ukatili

"Huyo mgeni aliyemnunua yeye kama mtumwa itampasa kumtendea yeye."

hatendewi kwa ukali

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "hakuna amtendeaye yeye viba"

Iwapo hakukombolewa katika njia hizi

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaj, na ile naye ni lazima akombolewe kutoka yaweza kutamkwa wazi. : "Kama hayupo wa kumkomboa yeye kwa njia hizi kutoka kwa aliyemnunua kama mtumwa."

kwa njia hizi,

"katika njia hizi"

atatumika mpaka mwaka wa Yubile, yeye pamoja na watoto wake

MWisraeli mtumwa pamoja na wa watoto wake watamtumikia mgeni mpaka mwaka wa Yubile., kisha huyo Mgeni angepaswa kumwacha huru Mwisraeli huyo pamoja na watoto wake.

Kwangu mimi watu wa Israeli ni watumishi

"Kwa kuwa ni kwamba kwangu watu wa Israeli ni wa tumishi." Hii nis sababbu kwamba Mungu alitaka Waisraeli waachwe huru katika mwaka wa Yubile. Walikuwa watumishi wake. Walikuwa hawaruhusiwi kuwa wa tumwa wa mwingine wa kudumu pia.