mganda wa nafaka wa matunda yake ya kwanza
"mganda wa kwanza" au "kitita cha kwanza cha nafaka."mganda" ni fungu moja la nafaka ambalo mtu amelifunga pamoja.
kwa kuwa litakubalika
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kwa ajili yaaa kupokelewa na Yahweh" au "Nami nitalipokea"