sw_tn/lev/14/03.md

361 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ambacho watu wafanye mtu anapotakaswa ugonjwa wake wa ngozi.

madhara ya ugonjwa wa ngozi

Tazama maelezo ya sura ya 13:3

mtu wa kutakaswa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu anayemtakasa"

ndege safi

Tazama maelezo ya sura ya 13:23

kitani nyekundu

"uzi mwekundo"