Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.
Ugonjwa wa kuambukiza
Tazama maelezo ya sura 13:3
naye ni najisi...atamtangaza kuwa najisi
Tazama maelezo ya sura 13:20