sw_tn/lev/12/06.md

229 B

Siku za kutakaswa kwake zitakapomalizika

Siku za mwezi za utakaso wake zitakapokamilika"

kwa ajili ya mwana au bint

Hii hurejelea idadi tofauti ya siku za utakaso kutegemeana na jinsia ya mtoto anayemzaa; mwana au binti.