sw_tn/lev/12/04.md

25 lines
574 B
Markdown

# utakaso wa mama wa kutokwa damu yake utaendelea kwa muda wa siku thelathini na tatu
Siku tatu** - Hii humaanisha kwmba mama atabakia najisi kwa siku sitini na tatu.
# muda wa thelathini na tatu
siku tatu** - "siku 33"
# naye atakuwa najisi kwa muda wa majuma mawili
Mwanamke ambaye watu wengiine haiwapasi kumgusa kwa sababu anatokwa damu kutokana na mimba yake amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.
# kwa mud wa majuma mawili
"kwa siku 14"
# wakati wa kipindi chake
Tazama maelezo ya sura ya 12:1
# siku sitini na sita
siku sita** - "siku 66"