1.2 KiB
dhambi dhidi ya vitu ambavyo ni vya Yahweh
Hii inamaanisha kwamba mtu aliyefanya dhambi kwa kutotoa kwa Yahweh kile alichomwamru Yahweh kutoa. : "Natenda dhambi kwa kushindwa kutoa kwa Yahweh kilicho cha Yahweh"
thamani yake halisi itatathminiwa kulingana na shekeli za fedha
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji: "Naye yapasa kuamua ni shekeli ngapi huyo kondoo dume anastahili"
shekeli
Sheli ni kama gramu 11 hivi katika uzito.
shekeli za patakatifu
Labda huenda hii humaanisha kulikuwa angalau na njia mbili za kupima shekeli. Hii humaanisha namna kuhani wa patakatifu alivyopima shekeli. : ""kipimo rasimi katika hema takatifu"
patakatifu
Hili ni jina lingine la hema takatifu
ataongeza moja ya tano
ya tano** - Hii inamaanisha mtu huyo alilazimika kulipa ziada ya moja ya tano ya thamani ya alichodaiwa na Yahweh.
moja ya tano
ya tano** - Hii ni sehemu moja kutokana na sehemu tano zilizosawa.
Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake
Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. "kuhani atapatanisha kwa ajili yake"
naye mtu huyo atakuwa amesamehewa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "yahweh atamsamehe mtu huyo"