sw_tn/lam/02/13.md

21 lines
406 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mwandishi anaanza kwa kusema na Yerusalemu.
# Nini naeza kusema ... Yerusalemu?
"Hakuna nacho weza kusema ... Yerusalemu."
# binti wa Yerusalemu
Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo hapa la zungumziwa kama ni mwanamke.
# Naweza kufananisha na nini ... Sayuni?
"Hakuna nachoweza kukufananisha nacho ... Sayuni."
# Nani anaweza kukuponya?
"Hakuna anaye weza kukuponya"