sw_tn/jud/01/09.md

42 lines
965 B
Markdown

# maelezo ya jumla
Balaamu ni Nabii aliye kataa kulahani Israel kwa ajiili ya adui lakini akamfundisha huyo adui kuwafanya watu waoe wasio amini na wawe waabudu sanamu.
# maelezo ya jumla
Kora alikuwa ni muIsraeli aliye asi uongozi wa Musa na ukuhani wa Aruni.
# bishana kuhusu mwili
walibishana juu ya nani atachukua milki ya mwili.
"bishana kuhusu nani angechukua milki ya mwili."
# Mikaeli...hakuthubutu kuleta kinyume naye
"Mikaeli...alijizuia mwenyewe kumkemea ibilisi
# hukumu au kuleta maneno ya matusi
"upinzani wa nguvu au maneno yasiyo na heshima"
# Lakini watu hawa
"watu hawa" ni watu waovu waliotajwa mapema.
# tusi mambo yote ambayo hawayaelewi
"kuongea pasipo heshima kinyume na chochote ambacho hawakijui maana yake"
# njia ya Kaini
Kaini alimuua kaka yake Abeli.
# kosa la Balaam kwa ajili ya mshahara
Balaamu alijaribu kulaani Israeli kwa ajili ya pesa.
# uasi wa Kora
Kora aliasi dhidi ya uongozi wa Musa na ukuhani wa Aron.