sw_tn/jos/22/25.md

17 lines
527 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Makabila ya Rubeni, Gadi, na nusu ya Manase yanaendelea kutoa majibu yao
# Kwa kuwa Yahweh ameifanya Yordani....hamna kitu chochote naYahweh
Huu ni mwendelezo wa mashitaka ya kinadharia ambayo makabila yale matatu yanadhani kuwa watoto wa makabila mengine wangeweza kufanya kwa wakati ujao.
# Yordani
Huu ni ufupisho wa Mto Yordani
# watoto wenu wanaweza kuwafanya watoto wetu waacha kumwabudu Yahweh.
Makabila haya matatu yalijenga madhabahu ili kuepuka hali inayodhania isije ikatokea wakati ujao.