sw_tn/jos/18/19.md

17 lines
434 B
Markdown

# Bega la kaskazini la Bethi Hogla
Nchi ambayo ina muundo wa mteremko inazungumzwa kana kwamba ni bega.
# Bethi Hogla
Hili ni jina la sehemu/mahali
# huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Benyamini
Nchi ambayo kabila la Benyamini iliipokea inazungumzwa kana kwamba ilikuwa ni urithi wa ambao waliupokea kama mali ya kudumu.
# walipewa kwa kila ukoo wao
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji: "Yoshua aliwapa nchi kwa kila koo"