forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
451 B
Markdown
13 lines
451 B
Markdown
# baada ya Israeli walipokuwa wamemaliza kuuwaua wenyeji ... baada ya wao wote... walipokuwa wamekwisha kulala kwa ncha ya upanga
|
|
|
|
Mwandishi anatumia sentens hizi, ambazo zote zina maana moja, zikiwa na maana ya Israeli walikuwa wamelitii agizo la Mungu la kumwua kila mtu huko Ai.
|
|
|
|
# walikuwa wameanguka kwa makali ya upanga
|
|
|
|
Hapa maana ya kuanguka ni kufa, na makali ya upanga yanamaanisha vita au jeshi la Israeli.
|
|
|
|
# elfu kumi na mbili
|
|
|
|
"12,000"
|
|
|