forked from WA-Catalog/sw_tn
862 B
862 B
Taarifa za jumla
Huu ni muendelea wa sala ya Yona ambayo ilianza katika 2 :1. Katika mstari wa 4 Yona alizungumza juu ya kitu ambacho alikuwa ameomba kabla ya sala hii.
katika kina, ndani ya moyo wa Bahari
Hii inazungumzia ukubwa wa bahari alipokuepo Yona
ndani ya moyo wa bahari
"chini ya bahari"
maji yaliyonizunguka
"maji ya bahari yalikuwa karibu kunizunguka"
mawimbi na gharika
Kulikuwa na mvurugo juu ya uso wa bahari. ((Angalia tini_ufunua)
Nimefukuzwa nje
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "Umenifukuza mbali" au "Umeniacha" (Angalia tini_washiriki)
kutoka mbele ya macho yako
"kutoka kwako." Yona aliposema "macho yako" alikuwa akisema juu ya Bwana kwa ukamilifu wake.
lakini nitaangalia tena juu ya hekalu lako takatifu
Yona ana matumaini kwamba, licha ya yote anayopita, ataona hekalu. (Angalia tani_kutaja)