forked from WA-Catalog/sw_tn
923 B
923 B
Karibuni ikaonekana
Inaweza kufanywa wazi ambao walidhani meli itavunjwa. AT "Watu walidhani"(Angalia tini_zilizowazi)
inaweza kuvunjwa
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "kuvunja"
baharini
watu ambao walifanya kazi kwenye Meli
Mungu wake mwenyewe
Hapa "Mungu" ina maana ya miungu ya uongo na sanamu ambazo watu wanaabudu.
Wakatupa mizigo iliyokuwa kwenye Meli
'Watu walitupa vitu vikali sana kwenye meli.' Hii ilifanyika ili meli isiweze kuzama..
ili kuifungua
Kuifanya Meli iweze kuwa nyepesi na kuweza kuelea vizuri, AT: "kusaidia meli kuelea vizuri"
Lakini Yona alikuwa ameshuka kwenye sehemu za ndani za meli
Yona alifanya hivyo kabla ya dhoruba kuanza.
chini kataika sehemu za ndani ya Meli
"ndani ya Meli"
alikuwa amelala huko usingizi uliopitiliza
"alikuwa amelala haraka usingizi" au "alikuwa amelala pale na amelala kupitiliza." Kwa sababu hii, dhoruba haikumuamsha.