sw_tn/job/20/06.md

37 lines
1.5 KiB
Markdown

# Habari za Jumla:
Sofari anaendelea kuzungumza na Ayubu
# Ingawa urefu wake
""Ingawa urefu wa mtu mwovu"
# Ingawa urefu wake yeye hufikia juu kwenye mbingu,
Kielezi cha jina "urefu" chaweza kuelezwa pamoja na kivumishi "refu". Ingawa yeye ni mrefu kama mbingu"
# Ingawa urefu wake yeye hufikia juu kwenye mbingu,
Urefu wa mtu mwovu unawakilisha heshima yake, au kiburi chake."Ingawa heshima yake inafika mpaka mbinguni" au "Ingawa kiburi chake kinafika mbinguni"
# Ingawa urefu wake yeye hufikia juu kwenye mbingu,
katika sentensi hii "kufika mbinguni" kunawakilisha kuwa mkubwa sana "Ingawa heshima yake yeye ni kubwa" au Ingawa kiburi chake ni kikubwa"
# Ingawa urefu wake yeye hufikia juu kwenye mbingu,
Kielezi cha jina "urefu" kinawakilisha heshima yake yeye au kiburi. Mawazo yote haya yanaweza kuelezwa pamoja na aina nyingine ya tungo."Japkuwa watu hufikiri kuwa yeye ni mtu mkuu sana" au" Japokuwa yeye ni mkuu"
# na kichwa chake yeye kufikia kwenye mawingu
"japokuwa kichwa chake ni kirefu kama mawingu" " Hii pia iinawakilisha heshima yake yeye au kiburi chake kwa kuwa mkuu. Hii inamaana kama ile ya mistari iliyotangulia.
# atapotea siku zote kama mavi yake yeye mwenyewe;
Mavi huchanganikana na udongo na kupotea. Rejeo hili kuhusu mavi linaweza pia kumaanisha kuwa mtu mwovu hana thamani. "atapotea siku zote kama mavi yake, ambayo hupotea kabisa katika udongo.
# atapotea siku zote kama mavi yake yeye mwenyewe;
"atapotea siku zote kama mavumbi ambayo upepo huyapeperusha mbali"