forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
693 B
Markdown
17 lines
693 B
Markdown
# Habari ya Jumla:
|
|
|
|
Mistari hii inaendeleza habari ya Bildadi. Katika mstari wa 14 - 15, mwandishi anatumia ulinganishaji, kuwasilisha wazo moja kwa kutumia taarifa mbili tofauti kusisitiza uharibifu wa wale ambao hawajayajenga maisha yao juu ya mafundisho ya wazazi wao.
|
|
|
|
# Hivyo pia ni njia ya wote wamsahauo Mungu
|
|
|
|
"Kutembea kwenye njia" ni usemi wa kawaida ambao unahusu maisha ya mtu na uelekeo wake. Mara nyingi hii inahusiana na watu kama wanafuata njia ya Mungu au njia zao wenyewe.
|
|
|
|
# matumaini yake ni dhaifu kama utando wa buibui
|
|
|
|
Hapa Bildadi analinganisha maisha ya waovu na utando wa buibui; nguvu kidogo itaharibu vyote.
|
|
|
|
# atashikamana nayo
|
|
|
|
"yeye atajaribu kukisaidia hicho"
|
|
|