sw_tn/jhn/13/26.md

9 lines
149 B
Markdown

# Iskarioti
Hii inamaanisha kuwa Yuda alitoka katika kijiji cha Keriothi
# Shetani akamwingia
Hii inamaana kwamba Shetani alimteka na kumwongoza