sw_tn/jhn/11/54.md

13 lines
206 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yesu anaondoka Bethania na kwenda Efraimu.
# tembea kwa uhuru mbele ya Wayahudi
Hapa anaongelea viongozi wa Kiyahudi.
# nchi
hili ni eneo nje ya mji ambapo watu wachache wanaishi.